Jamaa kapanda daladala akakaa na msichana mzuri sana,
jamaa akaaanza kujikoshaa ili aweze pata hata namba ya simu kwa mdada huyo.
Jamaa akaamua atoe kasimu kake mfuko nakujifanya anaongean na simu
Haloo.... sasa sikia hiyo biashara mimi siwezi fanya sababu hela ndogo sana mil 70 haitoshi sasa hivi hali ngumu juzi wamekuja wateja wengine wametaka kutoaa mil 100 nimekataaa sababu yenu alafu mnaleta mil 70 siwezi banaaaa.....
Watu kwenye daladalaa kimyaaa huku yule mdada akimuangaliaa tyuuu
Mara yule mdada akamgusa yule mkaka akigeuka kwa bashasha kudhani kuwa binti amemuelewaa, Samahani kaka ulidondosha betri ya simu kipindi unaitoa simu mfukoni... saivi gari limepakiwa dereva kashindwa kuendesha gari anacheka tuuuu. na jamaa cjui ndio kafika maana kashuka hata nyuma hajageukaaa.

0 comments:
Post a Comment