Timu ya manchester united imeshindwa tenaa kuondoka nafasi ya 6 baada ya kulazimishwa sare na wachezaji 10 wa fc Bournemouth.
timu ya man united walikuwa wakwanza kupata bao dak 23 kupitia mchezaji wake Marcos rojo.
kabla vijana wa AFC Bournemouth kusawazishaa bao hilo kwa mkwaju wa penati uliowekwa kimyani na mchezaji Joshua King adhabu hio imetokana na Phil Jones kumuweka chini Marc Pugh.
Mnamo dakika chache baaada ya goli kusawazwishwa mchezaji Andrew Surman wa afc bournemouth alionyeshwa kadi ya njano kisha kufuatiwa na nyekundu baada ya kumsukuma striker wa man united.
Dakika ya 71 Mashetani wekundu walifanikiwa kupata mkwaju wa penati baada ya mchezaji wa bournermouth kuunawa mpira ndani ya box licha hio mchezaji wa man u Ibrahimovic alishindwa kuuweka kimyani mpira huo hivyo kuikosesha timu yake ushindi muhimu na huenda ingewatoa kwenye nafasi iliowaganda kwa mda mrefu sanaa.
FULL TIME; (Man Utd 1-1 Bournemouth)

0 comments:
Post a Comment