Timu ya manchester united ilikuwa ya kwanza kupata bao lake la kwanza kupitia mchezaji
wake Henrik Mkhitaryan dak 35 ya mchezo huo, ambalo goli hilo lilidumu mpk kipindi cha kwanza kumalizika.
kipindi cha pili kilianza kwa kasi ndipo rostov walipoweza kusawazisha bao hilo dakika ya 53 kupitia mchezaji
wake Aleksandr Bukharov. kufanya mchezo huo kumalizika sare.
Fc Copenhagen imefanikiwa kuwachapa ajax bao mbili kwa 1
Fc Apoel imekubali kuchapwa katika uwanja wake wa nyumbani bao moja kwa nunge na timu ya Anderlecht
Full Time score:
FC Rostov | 1:1 | Manchester United |
Fc Copenhagen imefanikiwa kuwachapa ajax bao mbili kwa 1
Full Time score:
FC Koebenhavn | 2:1 | Ajax |
Fc Apoel imekubali kuchapwa katika uwanja wake wa nyumbani bao moja kwa nunge na timu ya Anderlecht
APOEL Nicosia | 0:1 | Anderlecht |
hayo ndio matokea ya timu za awali, zilizokwisha cheza hadi sasa. |
0 comments:
Post a Comment