MAN CITY
Timu ya manchester city jana ilifanikiwa kuilaza Middlesbrough bao mbili kwa bila.
Bao la awali la man city lilifunga na david silva dakika ya 3 na bao la pili likifungwa na kun Aguero dakika ya 67 hivyo kufanya matokeo yawe mbili bila na kuweza kufuzu raund nyengne ya fa cup.
FULL TIME Middlesbrough 0 - 2 Manchester City
FULL TIME Arsenal 5 - 0 lincon City.

ARSENAL
Vijana wa wenger jana walishuka dimbani kuumana na lincon city, arsenal ilishinda mabao 5 kwa bila
mabao hayo yalifungwa na Theo walcoty,o.giroud,Waterfall ambae alijifunga na kisha Sanchez na A.Ramsey kuitimisha magoli hayo.
FULL TIME Arsenal 5 - 0 lincon City.
0 comments:
Post a Comment