Tanga warriors Rugby club yatuma salamu kwa timu zitakazoshiriki kwenye bonanza hilo la rugby
litakalofanyika jijini arusha, siku ya juma mosi taehe 18.
Timu hio ambayo maskani yake yapo mkoani tanga na kutumia uwanja wa shule ya galanosi iliopo mtaa wa
nguvumali.
Timu ya rugby ya mkoa wa tanga ikimaliziaa mazoezi yake katika uwanja wake wa nyumbani kujiandaa na
bonanzna litakalofanyika jumamosi jijini arusha katika uwanja wa sheikh amri abeid kuanzia majira ya saa 4
asubuhi mpka saa 12 jioni. timu hio imesema imejiandaaa vyema kukabiliana na timu pinzani licha ya timu
hio ya tanga kuonekana ni changa ila ina wachezaji chipukizi hatari sanaa ndicho wanachojitambia.
bonanza hilo litahusisha timu takriban 7 ikiwemo;
Tanga warriors,
Arusha rhino,
Pillates,
Moshi,
Udsm,
Dar leopard,
Ardp
n.k
Tanga Warriors inatoa wito kwa wadu wote wa mchezo huu na pia kama kuna wachezaji wanaotaka
kujifunza mchezo huu wanakaribishwa.
SLOGAN: "FACE UR FEAR N BE THE MAN" WARRIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIORS CHAMPIONS

contact.
0712359752 au 0719612251
Email: princebaddy9@gmail.com
SLOGAN: "FACE UR FEAR N BE THE MAN" WARRIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIORS CHAMPIONS
0 comments:
Post a Comment